ILI KUJIWEKA KATIKA NAFASI YA KUSHINDA, FANYA HAYA YAFUATAYO:
1. Tumia muda mwingi kusoma vitu mbalimbali kwenye tovuti hii.
2. Alika (invite friends) watu wengi kuja katika tovuti hii. 3. Weka (post) mada nyingi katika 'Forum'. 4. Toa maoni mengi (comments) katika stori mbalimbali. 5. Tumia muda mwingi kwenye 'Chat Room'. 6. Weka picha (post photos) nzuri na zenye maadili kwenye profile yako. 7. Tuma habari, picha inayoweza kutumika 'Home Page'.
|
Visit Global Publishers at: http://www.globalpublishers. info/?xg_source=msg_mes_ network
tunaomba review ya kitabu hiki kuhusu yaliyomo ya mwandishi nguli nguli wa riwaya Eric Shigongo na kama kuna mdau ameshakipiti atuambie kama ni hadithi moto kama ilivyo kawaida kwa Eric.
ReplyDeleteMdau
Mpenda-Vitabu-vya-Riwayas