Katibu
Mkuu, Mbarak Abdulwakil akipokea shairi alilolisoma Mtunzi wa Mashairi katika
Jeshi la Magereza, Rashid Mtimbe (kushoto).
Baadhi
ya wajumbe wa TPS Saccos wakifurahia jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil alipokuwa anatoa hotuba yake ya
ufunguzi wa makutano huo.
Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja akitoa hotuba fupi
ya kumkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil.
Mwenyekiti
wa TPS Saccos, Deonice Chamulesile akitoa hotuba fupi ya kumkaribisha Mlezi wa
TPS Saccos ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali,
John Minja.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akitoa hotuba yake
ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa pili wa TPS Saccos unaofanyika katika Hotel
ya Edema, mjini Morogoro.
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wanne waliokaa
kutoka kushoto) akiwa na wajumbe mbalimbali wa Chama cha Akiba na Kukopa (TPS
Saccos) katika picha ya pamoja.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Hawa kwenye mamlaka zao ni watemi hasa, mpaka viatu wanasafishiwa na wafungwa. They have their own kingdom.
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteNimeona kosa kwenye vitambulisho vya taifa sasa sijui mimi lugha imenipiga chenga au niko sawa?
Naona sielewi hili neno JINSI AU JINSIA lipi liko sawa kimaana ya GENDER AU SEX?
Kama nitakua sahihi basi itabidi NIDA waingie gharama ya kusahihisha vitambulisho vyote!