Home
Unlabelled
London fashion Week 2013 |Urban Pulse|
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmetuwakilisha vizuri
ReplyDelete
ReplyDeleteBig up guys!
Safi sana nakuona anko wangu Mary Machaga; nimependa hilo smile lako linatisha anko wangu! Big up from Kiongozi
ReplyDeleteAkina dada UK,
ReplyDeleteFanyeti vyoooote mtuwakilishe na kupeperusha Bendera yetu lakini mwisho wa yote akina dada UK mrudi Bongo kuja kuchambua mbaazi, kukuna nazi kwa Kibao cha mbuzi na kukata kata bamia!
Kubwa lao ni kujitwisha ndoo za maji wakati wa upungufu wa maji na mgao na kutwanga visamvu kwa kinu na michi!
Akina dada Majuu mrudi Bongo kuja kuolewa na mababa Wazee!
ReplyDeleteHiyo kwa sasa ndiyo Fasheni hapa Bongo Tambarale,
Msichana miaka 19 mwanaume miaka 91 (Kikongwe) anatembea na mkongojo huku nakitetemeka!
Mwanamke miaka 28 babu (Mume) miaka 78!
Si watu ndugu wa mwanamke wanaangalia Pensheni na Urithi tuu?