Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim (katikati) akitoa elimu kwa wateja wa Benki ya Posta Tanzania tawi la Msimbazi jijini Dar es salaam kuhusu huduma inayowawezesha wateja wa Benki hiyo kuweka na kutoa fedha zao kutoka kwenye akaunti ya Benki hiyo kupitia simu za mkononi kwa njia ya M-pesa. Kulia ni Meneja wa Tawi hilo Maduhu Makoye.Huduma hiyo inapatikana pia kwa wateja wa mabenki mbalimbali nchini na kuweza kupunguza msongamano wa foleni katika mabenki.
Mmoja wa wateja wa Benki ya Posta tawi la Msimbazi kariakoo jijini Dares Salaam akimsikiliza Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim wakati alipokuwa akitoa elimu kwa wateja wa Benki hiyo kuhusu huduma inayowawezesha wateja wa Benki hiyo kuweka na kutoa fedha zao kutoka kwenye akaunti ya Benki hiyo kupitia simu za mkononi kwa njia ya M-pesa.Huduma hiyo inapatikana pia kwa wateja wa mabenki mbalimbali nchini na kuweza kupunguza msongamano wa foleni katika mabenki.
Meneja wa Benki ya Posta Tanzania tawi la Msimbazi Kariakoo jijini Dar es salaam Bw.Maduhu Makoye,akifafanua jambo kwa wateja wa benki hiyo juu ya huduma inayowawezesha wateja wa Benki hiyo kuweka na kutoa fedha zao kutoka kwenye akaunti ya Benki hiyo kupitia simu za mkononi kwa njia ya M-pesa na kuweza kupunguza msongamano wa foleni katika mabenki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...