
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Masheikh mbali mbali na mamia ya wananchi wa Zanzibar, akiwa katika mazishi ya Mwanazuoni na mhadhiri maalum Zanzibar na eneo la Afrika Mshariki, Sheikh Nassor Abdallah Bachu huko katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar jana. Alizikwa jana kijijini kwao Donge, Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Mkoa wa Kaskazini Unguja
Sheikh Nassor Alisaliwa katika Viwanja Vya Maisara na Kuzikwa kijijini kwao Donge
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi Akishuhudia Jeneza la Sheikh Nasssor Bachu

Kutokana na watu kuwa wengi sala ya maiti ilifanywa kwenye viwanja vya Maisara na sio msikiti wa kikwajuni kama ilivyotangazwa hapo mwanzo. Mwenyezi Mungu Amuweke marehemu mahala pema peponi Ameen.
INNALILLAH WA INA LILLAH RAJUHN,
ReplyDeleteMmungu ampe kauli thabit,hii haijawahi kutokea kwa Zanzibar ni mtu ambae alikuwa akikubalika sana east africa yote na far east
ReplyDeleteWelldone ,Wazanzibari mmeonyesha uzalendo tukiendelea kushikamana M/Mungu atatufikisha tunapotaka nimefurahi sana kuona ushirikiano huu mmetuwakilisha hata sisi tusiokuwepo nchini kwa kipindi hichi .M/Mungu ataleta rehma zake.
ReplyDeletePlease nitafute Ndugu 0773062343
Delete