Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Masheikh mbali mbali na mamia ya wananchi wa Zanzibar, akiwa katika mazishi ya Mwanazuoni na mhadhiri maalum Zanzibar na eneo la Afrika Mshariki, Sheikh Nassor Abdallah Bachu huko katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar jana. Alizikwa jana kijijini kwao Donge, Wilaya ya Kaskazini 'B', Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Masheikh mbali mbali na mamia ya wananchi wa Zanzibar, akiwa katika mazishi ya Mwanazuoni na mhadhiri maalum Zanzibar na eneo la Afrika Mshariki, Sheikh Nassor Abdallah Bachu huko katika viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar jana. Alizikwa jana kijijini kwao Donge, Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Mkoa wa Kaskazini Unguja
Sheikh Nassor Alisaliwa katika Viwanja Vya Maisara na Kuzikwa kijijini kwao Donge
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi Akishuhudia Jeneza la Sheikh Nasssor Bachu
Kutokana na watu kuwa wengi sala ya maiti ilifanywa kwenye viwanja vya Maisara na sio msikiti wa kikwajuni kama ilivyotangazwa hapo mwanzo. Mwenyezi Mungu Amuweke marehemu mahala pema peponi Ameen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. INNALILLAH WA INA LILLAH RAJUHN,

    ReplyDelete
  2. Mmungu ampe kauli thabit,hii haijawahi kutokea kwa Zanzibar ni mtu ambae alikuwa akikubalika sana east africa yote na far east

    ReplyDelete
  3. Welldone ,Wazanzibari mmeonyesha uzalendo tukiendelea kushikamana M/Mungu atatufikisha tunapotaka nimefurahi sana kuona ushirikiano huu mmetuwakilisha hata sisi tusiokuwepo nchini kwa kipindi hichi .M/Mungu ataleta rehma zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...