Meneja wa Bendi ya Mapacha Watatu,Hamis Dakota (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Albam yao ya pili itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua Rasmi Machi 02, 2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar es Salaam.Wengine pichani ni Wakurugenzi wa Bendi hiyo,Jose Mara (kulia) na Khalid Chokoraa (kushoto).

Mmoja wa Wakurugenzi wa Bendi ya Mapacha Watatu,Jose Mara (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Albam yao ya pili itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua Rasmi Machi 02, 2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar es Salaam.
Muimbaji Mpya wa Bendi ya Mapacha Watatu,Kambi Seti akiimba moja ya nyimbo za bendi hiyo leo Wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Albam yao ya pili itakayokwenda kwa jina la Yarabi Nafsi watakayoizindua Rasmi Machi 02, 2013 katika Ukumbi wa Business Park,Victoria jijini Dar es Salaam.
Wakurugenzi wa Bendi Mapacha Watatu,Jose Mara (kulia) na Khalid Chokoraa (kushoto) wakionyesha kava ya albamu hiyo mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...