Mhe. Tundu Lissu akiongea na wanaChadema Temeke Leo Jumapili Feb 10, 2013 baada ya kuwapokea wabunge wao Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke na Wabunge wa chama hicho kuwajuza yaliyojilri Bungeni Dodoma wakiwatuhumu Spika na Naibu wake kukipendelea chama tawala
Mbung wa Ubungo Mhe. John Mnyika naye akihutubia Wafuasi wa CHADEMA, Temeke leo Jumampili Feb 10, 2013 baada ya wanachama hao kuwapokea Wabunge wao tokea Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...