Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. JUU YA NINI PAPAA?NADHANI JIBU LILIKUWAJUU YA MBONGO

    ReplyDelete
  2. Zamani ukiuramba hivi unachukua mtoto kiulaini.

    ReplyDelete
  3. Eeee mama wacha. Wachu noma

    ReplyDelete
  4. Shija ShekilangoFebruary 05, 2013

    eee nikifika mjini uniitege Buraza K! Sio Karumanzira!

    ReplyDelete
  5. Duuu, hii ni BILEKU BILEKU?

    Hata Msichana mwenye Fulana ya kijani na siketi ya misitari misitari hapo kushoto ameng'oa macho akishangaa!

    ReplyDelete
  6. Huyu atakuwa kweli ni Mwenzetu?

    Sio Banyamulenge?

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa na Uraia itakuwa na kazi ngumu na changamoto ya hali ya juu kwa maeneo ya Mipakani kama Kigoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...