Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (katikati) akiongae na waandishi wa habari hawapo pichani , wakati wa kuwakabidhi zawadi zao washindi zaidi ya thelathini wa Promosheni ya “MAHELA”inayoendeshwa na kampuni hiyo,zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa,kushoto ni Bw.Aghasese Mballa na kulia Bi.Ruth Mungure ambao wote ni wamejishindia shilingi milioni moja kila mmoja.
Mshindi wa Promosheni ya”MAHELA” Bi.Ruth Mungure,akikabidhiwa fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 1 na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa(kulia) wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi zaidi ya 31 zawadi zao iliyofanyika jijini Dare Salaam, zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa,katikati ni Afisa bidhaa na huduma wa kampuni hiyo Bw.Athanasius Muhanuzi.
Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane pamoja na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu katikati wakimuangalia mshindi wa Milioni 1 Bw. Best Monuo wakati akihesabu fedha zake baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi zaidi ya 31 zawadi zao iliyofanyika jijini Dare Salaam, zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
kutoka kushoto Mkuu wa kitengo cha huduma za ziada na Mtandao wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane,Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bi.Chiku Saleh pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu wakifuatilia namba ya mshindi katika droo ya kumpata mshindi wa shilingi Milioni 5 katika promosheni ya ”MAHELA” inayoendeshwa na kampuni hiyo,zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...