Hii ne menyu mpya katika kiota cha Break Point cha mjini, Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tangazo lina makosa ya kisarufi. Andika TODAY'S ........halafu huo msosi wa tatu andika NG'ANG'ARI. Baada ya hapo nidokeze iko mjini sehemu gani kwani naijua ya K'nyama tu. Zamani ilikuwepo pale DIT ikabalaswa.

    ReplyDelete
  2. mdau wa kwanza break point ya mjini iko pale maeneo ya bilcanas, ukifika pale huulizi magari ya kumwaga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...