Mhe. Waziri Membe akionesha Nakala hizo mara baada ya kuzipokea. |
Mhe. Membe akizungumza na Mhe. Melrose masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza mara baada ya kupokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi huyo. |
Mhe. Membe akimsikiliza Balozi Melrose alipokuwa akifafanua masuala mbalimbal ya ushirikiano. |
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Balozi Melrose mara baada ya mazungumzo yao. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...