Mwl. Salome Makanza wa Shule ya msingi Oysterbay akisoma risala kwa niaba ya Mwl. Mkuu Msaidizi Janeth Mdingi ambapo ameishukuru Hoteli ya DoubleTree by Hilton kwa kubuni kampeni kama hiyo ya kugawa taa zinazotumia Nishati ya Jua kwa Wanafunzi wa Darasa la Saba ambao wanakabiliwa na Mitihani kwani zitawasaidia hata Umeme utakapokatika majumbani mwao.
Mwl. Salome Makanza akikabidhi risala yake kwa Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh.Dkt. Terezya Huvisa. Kulia ni Mkurugenzi wa kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann. Kuhsoto ni Kushoto ni Afisa Elimu Msaidizi wa Wilaya ya Kinondoni Faustin Kikove na Mwl.Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Oysterbay Bi. Janeth Mdingi (wa pili kushoto). Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hizo taa vibaka watakuja ziiba.
ReplyDeleteMNAWEKA TAA MJINI BADALA YA VIJIJINI ANGALIENI PANAFRICAN ENERGY WALIVYOWEKA SOLAR HUKU KILWA NA KUTULETEA PROGRAM YA KINGEREZA. KILWA WATOTO WANAONGEA KINGEREZA KUSHINDA WA DAR ES SALAAM.
ReplyDelete