Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe akiwa anaongea na viongozi wa chama kutoka katika mikoa ya kanda ya kaskazini ambayo ni arusha ,kilimanjaro ,manyara pamoja na tanga kuhusiana na sera ya majimbo leo jijini Arusha
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Freeman Mbowe akiwasili katika ukumbi wa bugaloo kwa ajili ya kuongea na viongozi wa vyama mbambali kwa jili ya kupanga mkakati wa chama chao
mwenyekiti wa muda wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kanda ya kaskazini ambaye pia ni mbunge wa karatu akiwakaribisha viongozi mbalimbali wa kanda ya kaskazini katika kikao cha viongozi wa chama hicho kanda kikao ambacho kinajadili seraya majimbo
picha juu na chini wajumbe ambao ni viongozi walioudhuria mkutano huo
jameni mikutano mikutano mikutano watu wanafanya kazi saa ngapi nyie zenu zishaingia kwa kupiga tararira na kudanganya watu wapeni hajira basi na elimu agrrrr.
ReplyDeleteMngekuwa mnatumia muda mwingi kwa Semina na Unezi wa Kukuza uwezo na Ustaarabu wa jinsi ya kuendesha harakati za Siasa !
ReplyDeleteNi bahati mbaya sana Vikao kama hivi badala ya kujenga uwezo huo wa Kisiasa vinatumika sana muda mwingi kuwapa mwamko wa jazba na vurugu za Kisiasa.
Hivi kweli tutafika?
Jamni ninaweza angalau kushawishika na Itikadi ya chdm lakini kwa suala la Magwandazzz mwilini mwangu?
ReplyDeleteOhhh kwa hapo Sitakikubali chama hiki!