Mwenyekiti wa Cuf Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhala uliopewa jina la mchakamchaka mpaka 2015 ambao ulifanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.
Katibu mkuu wa Cuf, Maalim Seif Hamad akihutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhala wa mchakamchaka mpaka 2015 uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.
Wafuasi na wanachama wa Cuf wakiwa wamekunja ngumi juu wakati viongozi wakuu wa chama hicho wakihutubia maelefu ya wakazi wa Morogoro.
mmmh sasa sijui tunapelekwa wapi kila kukicha mikutano tuuuuuu tizameni muda wa kazi na hao wasio na kazi ndio husababisha vurugu sababu hudanganywa kwenye hii mikutano isiyo na kichwa wala miguu ya kilakukicha utasikia chadema cuf ccm nk.
ReplyDelete