Naibu Waziri wa kazi na Ajira,Dkt.Makongoro Mahanga akifunga mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),uliomalizika leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
wenyekiti wa bodi ya wadhamini wa NSSF,Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kimekoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akitoa ufafanuzi wa jambo kabla ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kimekoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emanuel Humba (pichani shoto) akiongoza mjadala wa mambo ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau.
Mkurugenzi wa hospitali ya IMTU,ambaye pia ni mshauri wa mambo ya Afya kwa Jamii,Dkt.Ali Mzige akijibu mijadala ya maswali mbalimbali ,yaliyokuwa yakiulizwa na wadau mbalimbali kuhusiana na mada ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".

Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini (CHADEMA),akiuliza swali wakati wa mada ya Afya,kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".
Baadhi ya wadau zaidi ya 1000 waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao kilele chake kinakoma leo,ikiwa ni siku ya tatu,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ilihusu "Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike".

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...