Ndugu zangu:

Serikali ya Canada inatukumbusha  Wa-Tanzania kwamba kuna nafasi za kusoma nchini mwao. Vijana wetu watembelee na kutumia fursa hizo:


Wasalamu
Sospeter Muhongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante sana prof. Wizara yako haina PR officers? Au ndo mambo ya kulipa watu mishahara ya bure?

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana Mhe. Sospeter Muhongo kwa taarifa hizi nzuri kwetu!

    ReplyDelete

  3. Sospeter kwanini usichukue nchi una upendo sana wewe....(nakuteua kuwa raisi wetu wa baadaye) well done!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...