Ndugu zangu:
Serikali ya Canada inatukumbusha Wa-Tanzania kwamba kuna nafasi za kusoma nchini mwao. Vijana wetu watembelee na kutumia fursa hizo:
Wasalamu
Sospeter Muhongo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana prof. Wizara yako haina PR officers? Au ndo mambo ya kulipa watu mishahara ya bure?
ReplyDeleteAhsante sana Mhe. Sospeter Muhongo kwa taarifa hizi nzuri kwetu!
ReplyDelete
ReplyDeleteSospeter kwanini usichukue nchi una upendo sana wewe....(nakuteua kuwa raisi wetu wa baadaye) well done!