Naibu Spika na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara ya kibunge katika Bunge la Singapore.Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Bunge.
 Mkuu wa sehemu ya lugha, ukalimani na Mawasiliano  wa Bunge la Singapore, Bw Palaniappan Pan akitoa maelezo kuhusu ukumbi wa Bunge la nchi hiyo kwa Ujumbe wa Tanzania.Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Bunge, Dr Thomas Kashililah.Wengine pichani ni Mhe.Godfrey Zambi (kwanza kulia) na Mhe.Saleh Pamba.
 Naibu Spika Mhe.Job Ndugai na ujumbe wake wakiangalia mfumo wa utunzaji kumbukumbu katika Bunge la Singapore.
Naibu Katibu wa Bunge la Singapore Bw.Siaw Huan Han akitoa maelezo kwa ujumbe wa Bunge la Tanzania unaoongozwa na Naibu Spika Job Ndugai ambao upo Singapore kwa ziara ya mafunzo na ushirikiano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hivi ndivyo mabunge mengi duniani yalivyojengwa ndani namna ya ukaaji wa wabunge,sasa ukumbi wa ndani wa bunge letu utadhani , Cinema Theatre,yaani,ukumbi wa sinema?sijui nani aliyependekeza design ile,"too costly,for nothing effective!".hebu wenzangu tubadilishane mawazo kuhusu hilo!nyie mnasemaje?je,ule ukaaji tu wa wabunge ndani ya bunge,sio chanzo cha vituko vyote hivi tunavyo vishuhudia hii leo,lack of seriousness?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...