Home
Unlabelled
NEWS ALERT: JENGO LA PPF TOWER JIJINI DAR LASHIKA MOTO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wekeni picha basi, na taarifa iliyo kamili. Yunataka kujua.
ReplyDeletefloor ya 11 siyo ya mwisho...! Ngoma inaenda mpaka flr 17
ReplyDeleteLeo jamaa wa fire wamecheza safi sana withinffew minutes fire trucks zaidi ya kumi zilikuwepo na zenye kila ufundi wake make it short moto wamezima shughuli zimerejea ila Tanesco safari hii lazima ile kwao
ReplyDeleteMtoa comment wa kwanza: Vuta subra. Unapata kwanza habari kwa simu. Picha zikipatikana zitawekwa mtandaoni. Wote tunataka kujua
ReplyDeleteInsurance watalipa.
ReplyDeleteWatu wamesafanya Ufisadi sasa wanachoma ofisi ili kuficha ushahidi wa wizi uliofanyika.
ReplyDeleteNi wakati sasa kwa Majengo yaliyo gharimu kiasi kikubwa cha fedha za Walipa Kodi yawekewe vifaa maalum vya Kamera ili kubaini wahalifu mbali mbali na nyendo zao za Kihujumu.
Mfano Benki inahifadhi Mabilioni ya Shilingi halafu Mlinzi wa Kampuni Binafsi (Kulinda Benki)analipwa Mshahara chini ya Laki 5...inakuwa vipi hapa?
Jengo kama PPF Tower limegharimu Mabilioni ya Shilingi hivyo kuna ajabu gani zikatumika Milioni kadhaa chache kuweka vifaa vya Kamera?
Anonymous namba 6 umepiga penyewe. Mawazo yaliyokomaa kama hayo ndiyo tunayoyataka. Sina la kuongeza umemaliza kiongozi, ila naunga mkono hoja
ReplyDelete