HABARI ZIMETUFIKIA CHUMBA CHA HABARI SASA HIVI KWAMBA JENGO LA PPF TOWER MTAA WA OHIO JIJINI DAR ES SALAAM LIMESHIKA MOTO NA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAENDELEA KATIKA GHOROFA YA 11 . TUNAFUATILIA KUJUA CHANZO NA MADHARA YALIYOTOKEA ILA KWA SASA MOTO UMESHATHIBITWA. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wekeni picha basi, na taarifa iliyo kamili. Yunataka kujua.

    ReplyDelete
  2. floor ya 11 siyo ya mwisho...! Ngoma inaenda mpaka flr 17

    ReplyDelete
  3. Leo jamaa wa fire wamecheza safi sana withinffew minutes fire trucks zaidi ya kumi zilikuwepo na zenye kila ufundi wake make it short moto wamezima shughuli zimerejea ila Tanesco safari hii lazima ile kwao

    ReplyDelete
  4. Mtoa comment wa kwanza: Vuta subra. Unapata kwanza habari kwa simu. Picha zikipatikana zitawekwa mtandaoni. Wote tunataka kujua

    ReplyDelete
  5. Insurance watalipa.

    ReplyDelete
  6. Watu wamesafanya Ufisadi sasa wanachoma ofisi ili kuficha ushahidi wa wizi uliofanyika.

    Ni wakati sasa kwa Majengo yaliyo gharimu kiasi kikubwa cha fedha za Walipa Kodi yawekewe vifaa maalum vya Kamera ili kubaini wahalifu mbali mbali na nyendo zao za Kihujumu.

    Mfano Benki inahifadhi Mabilioni ya Shilingi halafu Mlinzi wa Kampuni Binafsi (Kulinda Benki)analipwa Mshahara chini ya Laki 5...inakuwa vipi hapa?

    Jengo kama PPF Tower limegharimu Mabilioni ya Shilingi hivyo kuna ajabu gani zikatumika Milioni kadhaa chache kuweka vifaa vya Kamera?

    ReplyDelete
  7. Anonymous namba 6 umepiga penyewe. Mawazo yaliyokomaa kama hayo ndiyo tunayoyataka. Sina la kuongeza umemaliza kiongozi, ila naunga mkono hoja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...