Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UNESCO Bibi Irina Bukova ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu,Mzee David Cleopa Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo(picha Rashid Ngurungu-Ikulu)
Pole sana Baba yetu Mungu akupe ahueni upone upesi.
ReplyDeleteHawa ndio wazalendo wachache waliobaki, ingekuwa viongozi wa sasa angekwenda nje ya nchi!!!
ReplyDelete