Mshambuliaji wa timu ya FC Libolo ya nchini Angola, Joao Martins, akiruka juu kupiga mpira wa kichwa na kuifungia timu yake bao la kuongoza mnamo dakika ya 24 ya mchezo katika kipindi cha kwanza,wakati wa mchezo wao wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya Timu ya Simba kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa mchezo Simba ilechezia kichapo cha Bao 1-0 toka kwa FC Libolo
Home
Unlabelled
Simba yachezia kichapo cha Bao 1-0 toka kwa FC Libolo uwanja wa taifa jijini dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Simba ina vipaji lakini kwa makocha hawa na maneno mengi ya kisiasa ya uongozi wa Rage wasahau kabisa na wapo ktk hatari hata nafasi ya tatu ligi kuu huenda wasiambulie!!Mdau ughaibuni !!!
ReplyDeleteJapo mie ni yanga damu lakini kwa hili, simanzi yaniingia.Haya ndio mchezo msikate tamaa watani na muwe kitu kimoja.
ReplyDeleteSimba vipi tena?Siyo kawaida yenu kutolewa mzunguko wa Kwanza kwenye Mashindano haya.Fanyeni mazoezi ya nguvu kwa ajili ya mchezo wa marudiano.NEVER SAY NEVER IN FOOTBALL
ReplyDeleteMdau David V
Simba mpira hawajui ni kelele tuu,msingi wa mpira ni kuwa na malengo dhabiti,sasa wao wabatumia siasa kama tupo shule na kuhonga honga tuu,waangalie azam mwaka huu kombe laligi ya voda ni lao kama yanga na hao simba hawatatumia mihongo yao,azam oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
ReplyDeleteHuyo langoni ni kipa wetu wa Msimbazi au la , maana urefu wa mwamba wa goli unamfanya aonekane hana kimo cha kimataifa kudakia timu ya mpira wa miguu.
ReplyDeleteMdau
Mtaa-wa-watani
Rage atoke tu
ReplyDeleteTatizo kubwa ni uongozi usiokuwa na mbinu wala mipango ya kueleweka, wanafanya kazi kwa mazoea na historia i.e. business as usual. Wapenzi wa Simba lazima wakubali kungojea uongozi umalize muda wao na upatikane uongozi mpya ndipo mafanikio yatawezekana.
ReplyDeleteVipaji vipo simba lkn siasa nyingi na kufanya kiwango kuwa duni. Poleni simba
ReplyDeleteLIBOL....
ReplyDeleteEhhh jamani hili jina nalo?
Mjomba Michuzi wewe unajulikana kuwa na uwezo mkubwa wa Tafsida kama ulivyo tushukia 'Mashimo ya Mfalme Suleiman', nafikiri leo umeteleza kidogo!
Ama kweli uzalendo umeanguka sana nchini!
ReplyDeleteTFF mpo wapo?
Na Uongozi Simba mpo wapi?
Hadi mnakubali kucheza na Timu yenye jina hilo?
Ina maana kwa jina lao endapo mnafungwa mnakuwa mnafungwa mara mbili, yaani mnafungwa magoli halafu mnafungwa kutokana na jina lao!
Kama ingekuwa ndio mimi Raisi wa Msimbazi ile tu Fax inaingia Ofisini kuwa tumepangiwa kucheza na timu yenye ''jina hilo'', mimi ningeweka mpira kwapani halafu ninge andika barua kujibu fax kwa kauli ya kukataa kucheza na Timu hiyo ama nipangiwe Timu nyingine!
Duhhh Watani poleni.
ReplyDeleteAma kweli kitu kimezama kama jina lenyewe lilivyo!
Wakulaumiwa ni Rage.
ReplyDeleteBora Simba kama Mdau wa 10 juu anavyosema tungeweka mpira kwapani!
Kwa nini akubali Timu iingie Uwanjani wa watu wenye jina kama hili?
Yanga wenzenu wameshakoga!
ReplyDeleteJe, na ninyi mtakubali kukipiga nao hata frendi mechi?
Jamaa bado hawaja ondoka vipi mpo tayari?
Mdau wa 13 anony wa Mon Feb 18, 02:44:00 pm 2013
ReplyDelete..hao jamaa kwa jina hilo acha waondoke zao, sisi YANGA ahhh hapana, hatutaki!
Hizi Timu zikija zingekuwa Majina yanapitishwa Basata kwa maadili kwanza.
ReplyDelete