Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. TFF,

    1.Makusanyo ya fedha za adhabu mbalimbali (KWA UCHACHE TSH 3.4 MIL.)za makosa mbalimbali kama mtazidisha kuwa toza wakosaji pia zinaweza kabisa kuwatoa na mkaondokana na tabia ya kutembeza Bakuli mkiomba omba!

    2.Mapato TSH 62 MIL. tu?, mbona taarifa zingine zinasema ilikuwa TSH 142 MIL.? zingine ziko wapi?

    Vipi ile Kandarasi ya Uuzaji wa Tiketi kwa njia ya Elektronikali iliyopata Benki ya CRDB kwa nini mpango unachelewa kuanza?

    3.Timu chezeni Mpira wa Kisasa na muache Ushirikina michezoni na maishani mwenu!!!

    ReplyDelete
  2. Hivi hii Kamati ya Utendaji TFF na Kamati ya Rufaa ya TFF ndio akina nani?

    Mbona hizi Kamati zina i-Bipu Serikali namna hii?

    Serikali mkiibipu itawapigia, halafu makoti yenu yawabane na muanze tena kutafutana!

    ReplyDelete
  3. TFF acheni kuendesha Shirikiso kwa njia za Giza na Ramli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...