Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, aongelea mauaji ya Padri Evarist Mushi huko Zanzibar Jumapili iliyopita, wakati alipoongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo Februari 18, 2013
Home
Unlabelled
Tamko la Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo juu ya mauaji ya PAdri Evarist Mushi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


nimesikitishwa sana na tabia hii inayoonekana sasa ni mazoea kweli hata sisi wakristo tunanyongo na mwisho wa uvumilivu, tunaomba serikali ilisimamie hili jambo bila mzaha ili hao wachache waache kuharibu amani ya nchi yetu. Namuombea Mungu amrehemu padri wetu Avarist Mushi na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani.
ReplyDeleteRehema K
Tanga
Kwani wahusika wa kitendo hicho wameshapatikana? Tahadhari hiyo inaashiria kuwa kuna watuhumiwa tayari.
ReplyDeletekwa nini hatusubiri tukajua ilikuwaje mauaji haya yalitokea? tumeamua kusema moja kwa moja kuwa ni waislam wamemuua, huyu alikuwa ni binadamu na binadamu ana mapungufu yake japokuwa ni askofu. je kama kuna sababu ingine iliopelekea mauaji yake????
ReplyDeleteupendo uwe wa kweli sio ule wa kutumia serikali dhidi ya wengine.
ReplyDeletenadhani Pengo kukataza kisasi ni kwa sababu kuna hofu hiyo.
ReplyDeletekila mkristo niliyemkosea alinilipizia mara mbili. hadi sasa siwagusi bora niwakosee hao isilamu.
hilo la kuatafuta mwuwaji serikali itawasaidia kulipiza kisasi hicho kwani mnaamini sheria ya kunyonga mwuuwaji imebarikiwa mbinguni. hivo si sawa na ninyi mmefanya.
mkikubali sheria ya kunyonga wauwauji basi mmekubali kisasi. tuwaone mbele mkiipinga sheria hiyo.
ReplyDeletena vipi mbona sisikii kauli za kumsamehe? au siyo dini?
mi nlidhani atasema wamewasmehe wauwaji.
ReplyDeleteMungu wao si huyu wetu, Mungu wa Upendo na Huruma. Ni mwingine Kabisaa! Na ndiyo maana hawana woga hata chembe. Mungu wa Abraham na wa Isaac atawazawadia stahili yao.
ReplyDelete