Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, aongelea mauaji ya Padri Evarist Mushi huko Zanzibar Jumapili iliyopita, wakati alipoongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo Februari 18, 2013

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nimesikitishwa sana na tabia hii inayoonekana sasa ni mazoea kweli hata sisi wakristo tunanyongo na mwisho wa uvumilivu, tunaomba serikali ilisimamie hili jambo bila mzaha ili hao wachache waache kuharibu amani ya nchi yetu. Namuombea Mungu amrehemu padri wetu Avarist Mushi na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani.

    Rehema K
    Tanga

    ReplyDelete
  2. Kwani wahusika wa kitendo hicho wameshapatikana? Tahadhari hiyo inaashiria kuwa kuna watuhumiwa tayari.

    ReplyDelete
  3. kwa nini hatusubiri tukajua ilikuwaje mauaji haya yalitokea? tumeamua kusema moja kwa moja kuwa ni waislam wamemuua, huyu alikuwa ni binadamu na binadamu ana mapungufu yake japokuwa ni askofu. je kama kuna sababu ingine iliopelekea mauaji yake????

    ReplyDelete
  4. upendo uwe wa kweli sio ule wa kutumia serikali dhidi ya wengine.

    ReplyDelete
  5. nadhani Pengo kukataza kisasi ni kwa sababu kuna hofu hiyo.

    kila mkristo niliyemkosea alinilipizia mara mbili. hadi sasa siwagusi bora niwakosee hao isilamu.

    hilo la kuatafuta mwuwaji serikali itawasaidia kulipiza kisasi hicho kwani mnaamini sheria ya kunyonga mwuuwaji imebarikiwa mbinguni. hivo si sawa na ninyi mmefanya.

    ReplyDelete
  6. mkikubali sheria ya kunyonga wauwauji basi mmekubali kisasi. tuwaone mbele mkiipinga sheria hiyo.

    na vipi mbona sisikii kauli za kumsamehe? au siyo dini?

    ReplyDelete
  7. mi nlidhani atasema wamewasmehe wauwaji.

    ReplyDelete
  8. Mungu wao si huyu wetu, Mungu wa Upendo na Huruma. Ni mwingine Kabisaa! Na ndiyo maana hawana woga hata chembe. Mungu wa Abraham na wa Isaac atawazawadia stahili yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...