Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwataarifu ya kuwa familia ya Dennis na Gloria Shengena wamefiwa na mama mzazi wa Gloria ambaye pia ni Dada wa Jackson na William Mollel wa Minnesota.Marehemu Esther Elius Nielsen amefariki leo asubuhi (Feb 18) huko Tanzania.

Mipango ya mazishi inaendelea huko Arusha. Ndugu wa marehemu wanatarajiwa kusafiri kwenda kwenye mazishi ijumaa wiki hii huko Arusha,Tanzania.

Unaweza kutuma mchango wa rambi-rambi kwa Bank Account zifuatazo:-
Dennis & Gloria Shengena,
TCF Bank,
A/C #6441512262

Msiba upo Golden Valley kwenye anuani ifuatayo:

2101 Tamarin Trail
Golden Valley MN 55427

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na wafiwa;-

Gloria Shengena    952-649-9818
Jackson Mollel        651-334-0163
William Mollel        651-338-9466
Dennis Shengena  952-992-9489

Kwa niaba ya familia ya wafiwa,tunatanguliza shukrani kwa maombi na faraja wakati huu mgumu.
Ahsanteni Sana.
Joel Mburu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...