Vikwangua anga vinazidi kuibuka kila kona jijini Dar es salaam. Hapo ni Barabara ya Bibi Titi na Ally Hassan Mwinyi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ni kweli mji una pendeza ila ingekuwa vizuri hivi vikwangua anga vikawekwa njne kidogo ya mji ili kupunguza msongamano wa magari manake majumba ni marefu yana ofisi nyingi na unajua tena wabongo siku hizi kula mtu ana kimtumba chake cha gari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...