Ujenzi wa barabara ya km 317.8 kwa kiwango cha  lami kutoka Songea hadi Tunduru umeshatinga Namtumbo mjini. Sasa maisha tambalale kwa wakwe, undendeule. Kazi imefikia zaidi ya asilimia 80, na vijana wanaendelea kupiga box.
 Namtumbo sasa ni mkeka mtupu 

Vijana kibao wa huku wamenufaika kwa ajira ya ujenzi wa barabara hii muhimu ambayo ujenzi wake ulisimama kwa muda baada ya kampuni ya kandarasi ya Ujenzi ya Progressive ya India kushindwa na kutimuliwa na kupatikana mkandarasi mwingine. Picha na mdau Gerson Msigwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...