Jengo la World Garden maeneo ya Mushoni jijini Arusha 
 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Magesa Mulugo akiwasili eneo la jengo la World  Garden ili  jengo hilo  ambalo lina kumbi za mikutano pamoja na ukumbi mkubwa wa Disco ambapo inadaiwa kwa uapande wa Afrika mashariki na kati hamna jengo kama hilo 
 Kwa ubavuni
 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Magesa Mullongo akizindua rasmi ukumbi huo wa disco uliopo Mushono ndani ya jiji la Arusha
 Ukumbi wa disko unaosemekana ni mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki na kati. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kweli ni mkubwa sana na waangalie hizo ngazi watuwekee mazuria ili tukilewa tusije kuvunja ugoko kwa hivo vigae

    ReplyDelete
  2. Mtu akisha titika masanga ya moto, na macho yake yakaanza kuwa na makengeza,anaona "double double" miguu inakuwa kama vile mlenda,pumzi inakuwa nzito na mdomo kumwagika, basi hizo ngazi hataziona, matokeo yake ni kuvunjika MUUNDI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...