Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii ni kampuni ya BM na madereva wake sio wastarabu kabisa!

    ReplyDelete
  2. Ndo zao wabongo, no rule of law.

    ReplyDelete
  3. Huo si umakini ni ujinga tu na kutotumia akili.

    Hili ni moja ya matatizo makubwa ya watu kukosa walau dakika moja ya kufikiri.

    Mbele pembeni kuna mtumiaji baiskeli, nyuma kuna gari, mbele tena upande wa pili kuna gari ingine ndogo na lori nyuma yake.

    Kwahio dereva wa hilo basi hatumii akili kabisa kufikiri kwamba watumiaji wengine wa barabara wanaweza kudhurika kwaajali ambayo yeye anataka kusababisha.

    Inasikitisha sana.

    Mdau Ughaibuni.

    ReplyDelete
  4. mtu anaovertake kwenye kona kali namna hii mbona tutazika wengi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...