Home
Unlabelled
umakini wa barabarani ni tatizo kwa baadhi ya madereva kama hivi pichani..!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni kampuni ya BM na madereva wake sio wastarabu kabisa!
ReplyDeleteNdo zao wabongo, no rule of law.
ReplyDeleteHuo si umakini ni ujinga tu na kutotumia akili.
ReplyDeleteHili ni moja ya matatizo makubwa ya watu kukosa walau dakika moja ya kufikiri.
Mbele pembeni kuna mtumiaji baiskeli, nyuma kuna gari, mbele tena upande wa pili kuna gari ingine ndogo na lori nyuma yake.
Kwahio dereva wa hilo basi hatumii akili kabisa kufikiri kwamba watumiaji wengine wa barabara wanaweza kudhurika kwaajali ambayo yeye anataka kusababisha.
Inasikitisha sana.
Mdau Ughaibuni.
mtu anaovertake kwenye kona kali namna hii mbona tutazika wengi
ReplyDelete