Jumapili tarehe 17 Machi, 2013 wanamichezo toka vilabu vya Namanga, Mwananyamala, Kunduchi Kwanza na wenyeji wao Biafra walifanya mazoezi ya pamoja ya mbio za pole pole na baadae walimpongeza mwanachama wa Biafra kwa kujifungua mtoto wa kiume takriban miezi miwili iliyopita. Fuatilia matukio kwa picha.
 |
Katibu wa mwananyamala Jogging akiwasalimia wanamichezo |
 |
Baadhi wa wana-Mwananyamala Jogging |
 |
Makamu M/kiti wa Biafra Jaqueline Barozi (kulia) akiwa na mjumbe mteule wa kamati ya Uchumi na Mipango ya klabu ya Biafra Ayoub Layson wakifuatilia matukio |
 |
Mwenyekiti wa Biafra Abdul mollel (aliyesimama) akiwasalimia wadau |
 |
Katibu wa Biafra Yahya Poli akimpongea Bi. Miriam Jospeh kwa kupata mtoto wa kiume |
 |
Miriam Joseph akiwasalimu na kuwashukuru wanamichezo waliojitokeza na kumpongeza |
 |
Viongozi wa Kunduchi Kwanza Kaka Jffari na Shekhan Khamis |
hawa jamaa huwa wananifurahisha sana. wakitoka mazoezini wanakutana kwenye baa na kunywa bia na supu! sasa hapo si ndio mtu unazidi kuwa mnene na kitambi zaidi? sababu ile jogging inakupa appetite ya kula na kunywa
ReplyDelete