Waumini wa kanisa Katoliki  duniani wamepata kiongozi mpya Baada ya makadinali kukutana katika kikao cha siri na kufanikiwa kumchagua Pope mpya  CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO (umri miaka 76) wa Argentina.
Umati wa maelfu ya waumini wa madhehebu ya Kikatoliki wamekusanyika katika uwanja wa St.Peter's Square huko Rome wakishangilia baada ya kuona moshi mweupe ukifuka juu kuonyesha ishara ya kuwa Makadinali wamemchagua Papa mpya. Dakika chache baadaye akajitokeza.
Katika wadhifa huo atajulikana kama Papa Francis.
Yeye  ni Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ee Mungu Asante sana kwa kutupatia Papa mpya. Kwa imani yetu Wakatoliki tunaamini kupitia wanadamu ni Mungu amemteua na si Makadinali waliochagua. wao walikuwa wawakilishi tu. Tumwombee aweze kuongoza kanisa kwa Upendo uliotukuka nakutuelekeza yale anayoshirikishwa na Mungu hasa kwa kipindi hiki cha imani. shime wakristu tudumishe Amani na Upendo daima.Mungu ni mwema wakati wote.Amina

    ReplyDelete
  2. amina,mdau wa 1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...