Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Bonde la
Muembe Mpunga,Upenja Wilaya ya Kaskazini B Unguja, alipofika kuona
athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja
jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili
katika Bonde la Muembe Mpunga,alipotembelea kuona athari za kilimo
hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja jana.
Mkulima wa Kilimo cha Mpunga Miza Mohammed Mcha,akipia
pump katika kisima cha Bonde la Mwembe Mpunga,kufuatia agizo la Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,kuhakikisha kupatikanwa kwa Maji katika kisima hicho,alipofanya
ziara ya kuangalia athari kilimo cha mpunga mkoa wa kaskazini Unguja
jana,(kushoto) Afisa Kilimo Mkoa wa Kaskazini Silima Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Utafiti wa
Wizara ya kilimo Khatib Juma Khatib,alipofika katika Bonde la Muembe
Mpunga, kuona athari za kilimo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa
kaskazini Unguja jana.
Wanafunzi wa Skuli ya msingi Matetema Wilaya ya
kaskazini B,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na
wanafunzi hao baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya matetema jana
alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja, [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...