Meneja
wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(wapili kushoto),Mtaalamu wa
kutengeneza Bia wa Kiwanda cha Bia Dar es Salaam, Calvin
Nkya(kushoto),Mtaalamu wa Kutengeneza Bia Afrika Masha Mashariki,
Machiel Bosch na Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam,Calvin
Martin wakionyesha tuzo ilizozitwaa Bia ya Safari Lager Afrika.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Bia ya Safari Lager inayotengenezwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) imenyakua zawadi ya jumla katika mashindano ya kwanza ya ubora wa bia yaliyoandaliwa na taasisi ya IBD (The Institute of Brewing and Distilling).
Mashindano haya ya kusisimua yaliyofanyika mapema mwezi huu kuanzia tarehe 3 hadi 8 katika jiji la Accra Ghana yalishuhudia kampuni ya kutengeneza bia ya SABMiller Afrika ikipokea tuzo 10 kati ya 13 zilizotolewa, ikiwemo tuzo hii ya ubingwa wa jumla wa mashindano haya iliyonyakuliwa na bia ya Safari Lager ya hapa Tanzania.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...