Mara baada ya mvua kunyesha kwa masaa kadhaaa jiji la Dar es salaam lilikuwa halitamaniki mchana wa leo kwa foleni ya magari, yaani hata Bodaboda zilikosa pa kupita. Kuanzia milango ya saa saba hadi jioni ilikuwa balaa tupu kwani kila barabara ilikuwa imefurika magari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...