Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa
Lindi,Bi. Fortunata Raymond (kushoto) akikabidhi msaada wa mashuka kwa
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Bi. Agness Hokororo kwa ajili ya Hospital ya
wilaya hiyo,Kulia Mkugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Ruangwa,Bw. Mfune
akishuhudia tukio hilo.
Wadau mbalimbali wakishiriki semina Kuhusiana na mfuko wa afya ya jamii CHF Wilayani RUANGWA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...