Msanii Keneh amshirikisha Boywonda toka FBG katika pini jipya kabisa "TUZIRUDI" ikiwa ni Afropop kwa wapenda Clubbing kote duniani, Wimbo huu ni release ya pili ya kwake mwanadada huyu toka pande za Arachuga mwenye maskani yake Nairobi Muda mwingi kutokana na kuwa katika Masomo ya ngazi ya chuo, "Nimerecord hii song Noizmekah Studios and for sure ni kitu tofauti sana na nyimbo zilizopo Tanzania hivyo nazidi omba support ya fans wangu wote all over na pia Media houses zote. Download HAPA and enjoy
--------------------------------------------

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...