Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa(kulia),Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung(wapili kulia),Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik(Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Injinia Zebadia Moshi(kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo Cha TEHAMA VETA huko Kipawa jijini Dar es Salaam leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...