Kutoka kushoto Yasin Randi, Mwinyikheri Mkwavi ambae alikua mgeni mualikwa na Benja Mwaipaja wakiwa tayari kukuletea kipindi chako ukipendacho na gumzo la mji KIJIWE CHA UGHAIBUNI hapo leo Jumanne March 12, 2013
Yasini, Mkwavi, Benja na Jabir Jongo wakiendelea na kipindi cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI tayari kabisa kuwarushia leo Jumanne USIKOSE
|
Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI LEO JUMANNE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kinaonyeshwa kwenye channel gani???
ReplyDeletewww ndau acha roho mbaya kwani ujui kijiwe wanatoka kivingine sio alafu wako juu
ReplyDelete