Kutoka kushoto Yasin Randi, Mwinyikheri Mkwavi ambae alikua mgeni mualikwa na Benja Mwaipaja wakiwa tayari kukuletea kipindi chako ukipendacho na gumzo la mji KIJIWE CHA UGHAIBUNI hapo leo Jumanne March 12, 2013
Yasini, Mkwavi, Benja na Jabir Jongo wakiendelea na kipindi cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI tayari kabisa kuwarushia leo Jumanne  USIKOSE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kinaonyeshwa kwenye channel gani???

    ReplyDelete
  2. port sudanMarch 12, 2013

    www ndau acha roho mbaya kwani ujui kijiwe wanatoka kivingine sio alafu wako juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...