Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango cha Kimakonde, Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai 'akitosi' kinywaji kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na Katibu wa Kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...