Website www.ngoma-africa.com ya
Ngoma Africa Band aka FFU imeanza tena kurusha muziki hewani,
baada ya marekebisho machache yanayo endelea kufanyika ili kubadili
sura yote mtandao huo.
Tuvoti hiyo ya ilisimamishwa kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima
sasa inarusha tena muziki hewani na mnaweza kuendelea kupata burudani
kamili tena kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com
au www.ngoma-africa.com Usikose kuwasiliana nao at contact@ngoma-africa.com
Home
Unlabelled
Libeneke la Ngoma Africa Band aka FFU laanza kurusha tena muziki hewani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
te te te ! FFU ! watoto wa mbwa na mfalme wa Anunnaki kikamanda ketu ras makunja virungu vimerudi hewani ! saaaafi sana
ReplyDeleteKamanda wa ffu tunaona pale ktk kambi ya ffu (web) panapigwa soup soup! harafu mkuu juzi kati hapa ulikua kimya? au ndio tangu upandishwe cheo kuwa field mashall ndio umepotea?
ReplyDeletehiiii watoto wa mbwa aka ffu mlikuwa machimbo gani? nilikua sijawasoma siku nyingi wajamani,sasa ndio kusema mtambwakia kila anayepita mbele yenu?
ReplyDeletewuuu ! wuuuu! ah shahbashi watoto wa bobi
kikamanda ketu kilikwa machimboni?
ReplyDeletemwe mwe mwe heti nasikia umeongezwa cheo? sasa ni fieldmashall? basi tunasubiri virungu vipya
Wazee wa virungu ffu aka ngoma africa bin watoto wa mbwa chini ya fiel.mashall kamanda ras makunja king of anunnaki empire
ReplyDelete