Website www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band aka FFU imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayo endelea kufanyika ili kubadili sura yote mtandao huo. Tuvoti hiyo ya ilisimamishwa kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima sasa inarusha tena muziki hewani na mnaweza kuendelea kupata burudani kamili tena kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com Usikose kuwasiliana nao at contact@ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. te te te ! FFU ! watoto wa mbwa na mfalme wa Anunnaki kikamanda ketu ras makunja virungu vimerudi hewani ! saaaafi sana

    ReplyDelete
  2. Kamanda wa ffu tunaona pale ktk kambi ya ffu (web) panapigwa soup soup! harafu mkuu juzi kati hapa ulikua kimya? au ndio tangu upandishwe cheo kuwa field mashall ndio umepotea?

    ReplyDelete
  3. hiiii watoto wa mbwa aka ffu mlikuwa machimbo gani? nilikua sijawasoma siku nyingi wajamani,sasa ndio kusema mtambwakia kila anayepita mbele yenu?
    wuuu ! wuuuu! ah shahbashi watoto wa bobi

    ReplyDelete
  4. kikamanda ketu kilikwa machimboni?
    mwe mwe mwe heti nasikia umeongezwa cheo? sasa ni fieldmashall? basi tunasubiri virungu vipya

    ReplyDelete
  5. Wazee wa virungu ffu aka ngoma africa bin watoto wa mbwa chini ya fiel.mashall kamanda ras makunja king of anunnaki empire

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...