Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kulia) akifurahia kinyago kilichochongwa na raia wa Afrika Kusini, Azwimpheleli (mwenye fulana nyeupe) huku Makamu wa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti, Haward Rosen (mwenye tai) akimtazama,wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day)yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Mmoja wa wananchi aliyetembelea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam akijaribu mkanda.
Moja ya kinyago kilichopo kwenye moja ya Mabanda ya maonyesho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
UJUE BANA NIMEFURAHI KUONA PICHA ZA MICHORO KAMA HIZO HAPO JUU.NCHI ZA WENZETU BAADHI HUKO ULAYA UTALII WAO NI NI KAMA HIZO PICHA TU ZA KUTENGENEZA NA WANAVUNA MIHELA KIBAO.KAMA VIPI KARIBIA MIKOA YOTE IFANYE KUTENGENEZA PICHA AU VINYAGO KAMA HIVYO KWENYE MITAA MBALI MBALI .VINYAGO VINAONGEZA UTALII SANAAA,NASHANGAA KWANINI DAR KUNA VINYAGO SANA VICHACHE UTALII SIO MPAKA MTU AENDE MBUGANI JAMANI.NIMEFURAHI SANA KUONA KINYAGO HIKO JAMANI
ReplyDelete