Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kulia) akifurahia kinyago kilichochongwa na raia wa Afrika Kusini, Azwimpheleli (mwenye fulana nyeupe) huku Makamu wa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti, Haward Rosen (mwenye tai) akimtazama,wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day)yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Mmoja wa wananchi aliyetembelea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam akijaribu mkanda.
Moja ya kinyago kilichopo kwenye moja ya Mabanda ya maonyesho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. UJUE BANA NIMEFURAHI KUONA PICHA ZA MICHORO KAMA HIZO HAPO JUU.NCHI ZA WENZETU BAADHI HUKO ULAYA UTALII WAO NI NI KAMA HIZO PICHA TU ZA KUTENGENEZA NA WANAVUNA MIHELA KIBAO.KAMA VIPI KARIBIA MIKOA YOTE IFANYE KUTENGENEZA PICHA AU VINYAGO KAMA HIVYO KWENYE MITAA MBALI MBALI .VINYAGO VINAONGEZA UTALII SANAAA,NASHANGAA KWANINI DAR KUNA VINYAGO SANA VICHACHE UTALII SIO MPAKA MTU AENDE MBUGANI JAMANI.NIMEFURAHI SANA KUONA KINYAGO HIKO JAMANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...