Mheshimiwa Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akisalimiana na wageni toka Lichinga Msumbiji.
Mhe.Balozi Hamisi Kagasheki (MB)Waziri wa Maliasili na Utalii akiweka Ngao .
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akiweka Sime.
Katika kuwakumbuka Mashujaa waliotangulia mbele za Haki Jeshi la Wananchi limeweka Utaratibu Maalumu ikiwa ni pamoja na kulipua mizinga na Fataki katika kuwakenzi Mashujaa. Picha na Demasho news
Hili ni jambo jema sana, kuwaenzi mashujaa wetu. Jamii ihamasishwe kupenda vya hapa kwetu.
ReplyDeletesongea mbano mpambaliato chaburuma zamchaya magosi nawengineo ndio mashujaa wetu wa maji maji tutawakumbuka kwa ushujaa wenu
ReplyDelete