Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujeruman, Prof. Harald Draun, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2013 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujeruman, Prof. Harald Draun, aliyeongozana na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2013. Picha na OMR.
Kawaaambia nini wazungu wote hao huyo babu???pliz Misupu weka video mambo kama haya. Qweman.P
ReplyDeleteMjomba Michuzi kama anavyo toa maombi Mdau wa kwanza hata mimi naona hivyo hivyo ya kuwa uwe unaturushia na video clips 3 min. to 5 min. za mazungumzo yalivyokwenda!
ReplyDeleteHata kama kuna sehemu za siri, hiyo siyo hoja Mta edit tunachotaka ni part of or ''Main idea of the talks''
Si tunajua akina Michuzi hadi Bunge lenu mmetaka lisiwe linarushwa live?