Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Gazeti la Mwana Halisi, Said Kubenea.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPP Regnard Mengi.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, akionekana jinsi alivyojeruhiwa.Picha na OMR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. huu ni unyama,kitendo hiki si cha kibinadamu,Kamanda ras makunja na kikosi chake alijiimbia " Uhuru wa Vyombo vya harai" ndio haya sasa!

    ReplyDelete
  2. Kamanda mkuu wa FFU Ras Makunja ,ule wimbo wako wa uhuru wa habari? kweli kazi ya hawa jamaa ni ngumu sana

    ReplyDelete
  3. serikali itwambie inalindaje raia wake au ndo ulinzi wenyewe huo...
    Naona wanafurahia wakisikia mtu kang'olewa meno na kucha...wao wanacheka...mwangosi,ulimboka na sasa huyu...
    haijulikani ajaye ni nani...tunaanza kupaogopa nyumbani TZ...baba Nyerere ulipo zidisha maombi kwa taifa lako baba...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...